![]() |
Picha ya juu: inaonyesha muundo wa serikali 2 wa sasa complicated na unaonyesha jinsi Serikali ya #Tanganyika ilivyojificha ndani ya Muungano. Picha ya chini: inaonyesha muundo wa serikali 3 ulio wazi na kuonyesha vyombo vinavyowajibika #BungeKatiba Serikali 3 itakuza uwazi na uwajibikaji. via MARIA SARUNGI |