Thursday, April 3, 2014
MAKABURI AMEZIKWA SIKU YA JUMANNE USIKU
Mhubiri mwenye utata aliyeuawa na polisi mjini Mombasa Jumanne usiku, Abubakar Shariff Makaburi alizikwa usiku wa manane kuamkia leo.
Maziko yake yalifanyika saa sita baada ya watu wasiojulikana kumuua akiwa nje ya mahakama ya Shanzu mjini Mombasa.
Labels:
News
Wednesday, April 2, 2014
RAIS JACOB ZUMA KUJIELEZA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA AFRIKA KUSINI KUHUSU KUFUJA PESA....
Rais Jacob Zuma anatarajiwa kufika mbele ya kamati ya Bunge la A-Kusini kujieleza kuhusu kashfa ya kufuja pesa za umma zilizotumiwa kukarabati nyumba yake ya kifahari.
Ukarabati huo uligharimu dola million 23 na Bw Zuma ameamrishwa na mkaguzi au mlinzi wa mali ya umma nchini humo alipe baadhi ya pesa hizo .
Zuma alisema Jumatatu kuwa
Labels:
News
Tuesday, April 1, 2014
SATRINE ATOLEWA RISASI ILIYOKWAMA KWENYE UBONGO..!

Risasi hiyo iliyomuingia mtoto Satrine kichwani ndiyo iliyomuua mamake.
Mamake Satrine alikuwa amempakata mtoto wake ili kumlinda kutokana na magaidi waliovamia kanisa walimokuwa wiki moja iliyopita katika mtaa wa Likoni mjini Mombasa.
Labels:
News
Sunday, March 30, 2014
sikiliza/listen & pakua/download AMINI's NEW HIT NOVEMBER OR DECEMBER
sikiliza/listen & pakua/download AMINI's NEW HIT NOVEMBER OR DECEMBER hapa...
Labels:
Videos
Subscribe to:
Posts (Atom)