kama hukutazama mechi ya MAN UNITED dhidi ya WESTHAM UNITED... CHEKI HILI GOLI LA PILI LA ROONEY...
Inasemekana ni goli zuri kutokea katika msimu huu hususani mwezi huu... Lilikuwa ni bao la pili la kuongoza na la ushindi kwa Manchester United dhidi ya Westham United. Alifunga mwenyewe bao la kwanza pia katika ushindi wa bao 2-0.