Sunday, March 23, 2014

MAUAJI TENA KENYA!



Lokoni, Mombasa

Watu wawili wameuawa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya mtu mmoja kufyatua risasi ndani ya kanisa la Joy Jesus huko Lokoni, Mombasa.

Chanzo Global Publisher