Sunday, March 23, 2014

JE WAJUA.. ASALI NI CHAKULA PEKEE KISICHO.................?



Asali ndiyo chakula pekee duniani kisichoharibika katu.

Wanasayansi wamethibitisha hilo baada ya kupima asali iliyopatikana katika kaburi la Farao wa Misri na kukuta ni nzima mpaka sasa.