Saturday, April 12, 2014

Picha 4 za wachezaji wa MAN Utd. WELBECK na TOM CLEVERLY WAKICHEZA MUZIKI na KULEWA usiku mtaani.....masaa machache baada ya mechi ya Bayern Munich na Man U kumalizika

Welbeck akiwa ameshika na kichwa kabisaa...
Cleverly akionesha ujuzi katika dance mbele ya Welbeck.

Welbeck alikuwa deep kuliko..mkono mmoja weka juu....

Cleverly na Welbeck