Saturday, April 12, 2014

picha 6 za MAFURIKO KUFUATIA MVUA ZA MFULULIZO ZINAZOENDELEA KUNYESHA JIJINI DAR ES SALAAM....!


Eneo la Jangwani.



Eneo la Jangwani.

Eneo la Jangwani.
Zipo taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi jijini Dar es Salaam Suleiman Kova akizungumza na kituo cha televisheni cha channel Ten kuwa watu 10 wamethibitishwa kupoteza maisha maeneo ya Jangwani na Mgomeni na bado zoezi la kufuatilia uwepo wa miili mingine sambamba na majeruhi linaendelea.

Miongoni mwa waliyopoteza maisha wengine walizidiwa na kusombwa na maji makubwa na kuangukiwa na nyumba (watoto 4 Magomeni wamepoteza maisha kwa kuanukiwa na nyumba).