Robin Van Persie |
Manchester United imekuwa na mwenendo mmbaya katika michezo yake mingi msimu huu hususa katika mashindani ya ligi kuu Uingereza (BPL). Iko nafasi ya saba katika msimamo wa ligi.
Wiki ijayo itaikaribisha Olympicos katika dimba la Old Traffold pale Uingereza katika mechi ya marudiano ya mtoano kwenye ligi ya mabingwa UEFA.
kutoka goal.com