Thursday, March 20, 2014

tazama picha za matukio ya Van Persie baada ya kuumia jana wakati Man U ilipoivaa Olympiacos ya Ugiriki........

Cut short: The Dutchman is taken off the Old Trafford pitch on  stretcher after his clash with Kostas Manolas
Van Persie akitolewa nje ya uwanja.
Helping hand: Wayne Rooney offers support to his team-mate as he receives treatment on a stretcher
Wayne Rooney akidadisi hali ya Van Persie baada ya kuumia jana.
Concern: Robin van Persie left the field of play on a stretcher following a late challenge by Kostas Manolas
Van Persie akilazwa kwenye machela baada ya kuumia.