Mh.Peter Msigwa akishuka kwenye gari la Polisi |
Mbunge wa Iringa mjini Mh. Peter Msigwa amefikishwa mahakama kuu ya mkoa katika kesi yake ya kufanya vurugu kwenye kampeni ambayoimeahirishwa mpaka April 9, 2014.
Mh. Peter Msigwa anatuhumiwa kwa kosa la kumfanyia vurugu kwa kumpiga Salum Keita mjumbe wa kampeni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM ) siku ya tarehe 6 mwezi wa pili.